Ifahamutanzania.com ni namba moja na kiongozi wa tovuti zote nchini Tanzania katika habari za mtandaoni zenye malengo ya kufa ... hamisha, kujumuisha na kuwezesha watu ulimwenguni kuijuwa Tanzania kwa kina kupitia lugha ya kiswahili. Wafanyakazi wetu wanafanya kazi masaa 24, siku saba zote za wiki katika timu zisizopumzika duniani kote. DIRA YA IFAHAMU TANZANIA: Kujulisha, kujumuisha na kuwezesha watanzania na Dunia nzima kuifahamu Tanzania. Sisi ni watafiti wa ukweli na wahadithiaji. Sisi ni waandishi wa habari, wabunifu na mafundi wa teknolojia, waliounganishwa na dhamira ya kujulisha, kujumuisha na kuwezesha watu wa Tanzania na wote ulimwenguni wanaoitakia nchi mema. Tunashuhudia historia ilivyotokea, inavyotokea na kuelezea sio tu kilichotokea, lakini kwa nini, na inamaanisha nini kwako. Tovuti yetu itakuchukuwa mbali zaidi ya mahala ulipo kimawazo, na kukufunulia ulimwengu wa Tanzania kwako, kwa kukuletea huduma na habari ambazo zitaboresha maisha yako, familia yako na jamii yako. Tunasimama kwa ubora katika uandishi wetu, huduma zetu na tovuti yetu kiujumla. Tumejitolea kukuhudumia. Sisi ni IFAHAMU TANZANIA. KAMPUNI MAMA YA IFAHAMU TANZANIA: - YOURBACKUPEMPLOYEE INCORPORATED. read more
Competitor | Description | Similarity |
---|
Loading..